
JEMBE:TARIMBA HAHUSIKI SIMBA KUJIONDOA SPORTPESA
MCHAMBUZI wa soka nchini Saleh Ally Jembe ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazoenea mitandaoni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa SportPesa Abas Tarimba amehusika katika kukwamisha dili la Kampuni hiyo yakubashiri na Simba SC. Jembe amesema habari hizo si za kweli licha ya kwamba Tarimba ni mwana Yanga lakini Simba waliachana na dili la SportPesa…