
MAKOCHA WATATU KUINOA SIMBA
SIMBA itakuwa na makocha wawili wasaidizi kwa msimu wa 2022/23 baada ya mmoja kuongezwa rasmi na atakuwa na majukumu mawili kwa wakati mmoja kwenye kikosi hicho. Tayari Kocha Mkuu ameshatangazwa ambaye ni Zoran Maki yupo na kikosi nchini Misri kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu ujao ambapo alianza kazi na kocha mzawa msaidizi Seleman Matola….