Home Sports SAUTI:KIUNGO MGHANA AMETAMBULISHWA AZAM FC Sports SAUTI:KIUNGO MGHANA AMETAMBULISHWA AZAM FC July 15, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsApp AZAM FC wamemtambulisha kiungo kiraka ambaye anaweza kucheza nafasi zaidi ya moja uwanjani ambapo atakuwa kwenye kikosi kitakachoweka kambi Misri kwa maandalizi ya msimu wa 2022/23 nchini Misri kwa kandarasi ya miaka miwili.