AZAM FC YATAMBIA USAJILI WAO

UONGOZI wa Azam FC, umeweka wazi kuwa usajili ambao wameufanya kwa ajili ya msimu mpya wa 2022/23 umezingatia mapendekezo ya benchi la ufundi kwa asilimia kubwa. Tayari Azam FC imewatambulisha mastaa 8 ikiwa ni pamoja na Cleophance Mkandala kutoka Dodoma Jiji,Isah Ndala kutoka Plateau United,Tape Edinho kutoka ES Bafing,Kipre Junior kutoka Sol FC. Pia yupo…

Read More

YANGA WATAJA SABABU YA KUMPA MKATABA AZIZ KI

BAADA ya kukamilisha utambulisho wa kiungo wa Yanga, Aziz KI uongozi wa Yanga umetaja sababu ya kumsajili kiungo huyo kuwa ni uwezo wake. Inaelezwa kuwa usajili wa kiungo huyo aliyekuwa anakipiga ndani ya ASEC Mimosas umewatoa Yanga milioni 700 akiwa amepewa kandarasi ya miaka miwili kuwatumikia mabingwa mara 28 wa Ligi Kuu Bara. Ofisa Habari…

Read More

BEKI APEWA MKATABA MGUMU AKUBALI KUSAINI JANGWANI

MABOSI wa Yanga wamempa mkataba mgumu wa mwaka mmoja wenye masharti beki wake wa kati, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ hiyo ikiwa ni siku chache tangu beki huyo atambulishwe kuendelea kubakia kuichezea timu hiyo. Awali, beki huyo alikuwa katika mipango ya kuachwa pamoja na baadhi ya wachezaji akiwemo Yassin Mustapha, Deus Kaseke na Paul Godfrey ‘Boxer’. Taarifa…

Read More

NENGA,NANDY WAPEWA KADI NA RAIS

 RAIS  wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said amewakabidhi kadi za uanachama kwa Wasanii Faustina Mfinanga wanamjua kwa jina la Nandy na William Lyimo  wengi wanauita Nenga. Wawili hao kwa sasa ni mwili mmoja baada ya kukamilisha kufunga pingu za maisha wikiendi hii. Mbali na kadi hizo pia Injinia Hersi aliwakabidhi fedha  Tsh Mil 5,ikiwa…

Read More

MVP BANGALA DAKIKA ZAKE BONGO KWENYE LIGI

YEYE ni mchezaji bora wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22 ambapo kasepa na tuzo tatu mazima msimu huu. Ni tuzo ya kiungo bora baada ya kuwashinda Feisal Salum na Salum Abouhakari,’Sure Boy’ ,mchezaji bora baada ya kuwashinda Henock Inonga wa Simba nan a Fiston Mayele wa Yanga. Ile tuzo yake ya tatu ni…

Read More

BANDA APATA TIMU AFRIKA KUSINI

 MTANZANIA Abdi Banda amepata changamoto mpya kwa ajili ya kuonyesha uwezo wake kwa msimu mpya wa 2022/23. Banda ambaye ni nyota wa zamani wa Baroka FC ya Afrika Kusini amesaini mkataba wa miaka 2 kuichezea timu ya Chippas United inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini.  Kabla ya kujiunga na Chippas Banda aliwahi kukipiga pia Highland…

Read More

ISHU YA KAMBI YA YANGA MORO IPO HIVI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa suala la kambi kwa maandalizi ya msimu wa 2022/23 lipo mikononi mwa benchi la ufundi. Mpango wa awali wa Yanga kuweka kambi ilikuwa ni nchini Tunisia na imeelezwa kuwa mpango huo umewekwa kando kutokana na muda kutajwa kuwa mdogo. Pia habari zinaeleza kuwa kwa sasa wanatarajia kwenda kuweka kambi…

Read More

LEWANDOWSKI NI BARCELONA

 BARCELONA wamefikia hatua nzuri ya kuipata saini ya staa wa Bayern Munich, Robert Lewandowski kwa ajili ya kuwa naye kwenye kikosi hicho. Ni kandarasi ya miaka mitatu wamefikia makubaliano ya kumpa mkataba mshambuliaji huyo. Wakati wowote kuanzia sasa Klabu ya Barcelona watamtangaza rasmi Lewandowski. Nyota huyo alikuwa amesaliwa na kandarasi ya mwaka mmoja ndani ya…

Read More

VIDEO:MASHINE NYINGINE ZA SIMBA KUIBUKIA MISRI

UPNGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa baada ya kufanya mazoezi kwa muda wa siku mbili wachezaji wengine ambao hawakujiunga na timu hiyo kambini nchini Misri wanatarajiwa kujiunga na timu hiyo. Wachezaji hao ni pamoja na Nassoro Kapama,Moses Phiri,Taddeo Lwanga na Peter Banda kwa mujibu wa Ahmed Ally,Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba.

Read More

MKAZI WA MANYARA AMESHINDA SH:106,809,410 ZA M BET

MKAZI wa Mkoa wa Manyara, Maraba Masheku, ameshinda Sh.106, 809, 410 baada ya kutabiri kwa usahihi mechi 12 za ligi mbalimbali za soka duniani kupitia droo ya M-Bet Tanzania ya Perfect 12. Masheku ambaye ni shabiki wa Simba Sports Club na Chelsea amesema haikuwa kazi rahisi kwake kushinda kiasi hicho cha fedha kutokana na ugumu…

Read More

MAKOCHA WATATU KUINOA SIMBA

SIMBA itakuwa na makocha wawili wasaidizi kwa msimu wa 2022/23 baada ya mmoja kuongezwa rasmi na atakuwa na majukumu mawili kwa wakati mmoja kwenye kikosi hicho. Tayari Kocha Mkuu ameshatangazwa ambaye ni Zoran Maki yupo na kikosi nchini Misri kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu ujao ambapo alianza kazi na kocha mzawa msaidizi Seleman Matola….

Read More

SIMBA KUCHEZA MECHI TATU ZA KIRAFIKI MISRI

WAKIWA kwenye maandalizi ya msimu wa 2022/23 washindi namba mbili kwenye Ligi Kuu Bara,Simba wameweka wazi kuwa wanatarajiwa kucheza mechi tatu za kirafiki. Kwenye msimamo Simba ilimaliza ikiwa nafasi ya pili na pointi 61 baada ya kucheza mechi 30 za ligi. Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally amesema…

Read More