SPORTPESA WAISHUKURU SIMBA,WAJIVUNIA MAFANIKIO

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa SportPesa, Tarimba Abbas, amewatakia heri Klabu ya Simba kwa kuingia mkataba mpya na M-Bet, huku akiwashukuru kwa ushirikiano wao ndani ya miaka mitano ya udhamini wao.  Tarimba amesema ulikuwa mkataba wa mafanikio makubwa, hivyo baada ya kupata barua yao ya kuachana nao rasmi walifurahi maana wana mengi ya kujivunia…

Read More

KIUNGO WA KIMATAIFA KUTAMBULISHWA YANGA

KIUNGO Aziz KI  anatarajiwa kutambulishwa leo Julai 14 na mabosi wa Yanga baada ya kusaini dili la miaka miwili. Nyota huyo alikuwa anacheza ASEC Mimosas mkataba wake umegota ukingoni hivyo atajiunga na Yanga akiwa ni mchezaji huru. Anakwenda kuungana na kiungo Bernard Morrison ambaye aliwahi kucheza naye kwenye mashindano ya kimataifa zama zile Morrison alipokuwa…

Read More

MASTAA WATANO SIMBA HAWATAKWENDA MISRI

MASTAA watano wa kikosi cha Simba wataachwa Bongo kwa ajili ya kuweza kutimiza majukumu yao kwenye timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stasr. Kikosi cha Simba leo Julai 14,2022 kinatarajiwa kukwea pipa kueleka nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2022/23. Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano ndani…

Read More

RAHEEM NI CHELSEA RASMI

STAA Raheem Sterling (27) ameandika ujumbe maalum wa kuwaaga mashabiki wa Manchester City muda mfupi kabla ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na Klabu ya Chelsea ya Uingereza. Katika ujumbe wake Sterling amewashukuru mashabiki na timu ya Manchester City pamoja na bechi la ufundi kwa ujumla kutokana na namna walivyokuwa naye katika nyakati nzuri na…

Read More

AZIZ KI NI NJANO NA KIJANI

MUDA wowote kuanzia sasa huenda Yanga ikamtambulisha nyota wao mpya ambaye ni Aziz KI ambaye anacheza ndani ya kikosi cha ASEC Mimosas. Yanga inaendelea kufanya usajili kwa ajili ya maboresho ya kikosi hicho ambacho kitashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga watawapa kile ambacho mashabiki wao wanasubiri utambulisho wa staa huyo raia wa Ivory Coast. Nyota…

Read More

YANGA YATAMBIA USAJILI WAO BARA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa namna ambavyo wanasajili wachezaji wenye uwezo mkubwa wapinzani wao watasubiri kuwashusha hapo walipo kwa sasa. Yanga imeweza kumalizana na nyota wa kazi ikiwa ni pamoja na kiungo Bernard Morrison,Lazarus Kambole na Gael Bigirimana ambao wana uhakika wa kuwa kwenye kikosi hicho msimu ujao. Ofisa Habari wa Yanga, Haji…

Read More

SIMBA:WACHEZAJI WAZAWA KWETU WANASIMAMISHA NCHI

 UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa usajili wa wachezaji wazawa ndani ya kikosi hicho ni usajili wa kuweza kusimamisha nchi kwa kuwa kila mchezaji ana thamani kubwa. Tayari Simba imetambulisha wachezaji wawili wazawa kwa ajili ya msimu ujao ikiwa ni pamoja na Habib Kyombo aliyekuwa anakipiga ndani ya Mbeya Kwanza na Nassoro Kapama ambaye alikuwa…

Read More

VIDEO:KOCHA MPYA SIMBA AMEKUBALI MASHARTI ALIYOPEWA

UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba, Kocha Mkuu Zoran Maki amekubali kuweza kusimamia malengo na dira ya timu hiyo kwa msimu ujao wa 2022/23. Masharti ambayo amekubali kuweza kutimiza ni pamoja na kutwaa Kombe la Ligi Kuu Bara,Kombe la Shirikisho,Ngao ya Jamii pamoja na kutinga hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Maki amepewa mkataba…

Read More

CR 7 HAUZWI KOCHA MANCHESTER UNITED ATHIBITISHA

KOCHA wa Manchester United raia wa Uholanzi Eric Ten Hag amewaambia Waandishi wa Habari kuwa mshambuliaji wa klabu hiyo Cristiano Ronaldo hauzwi. Ten Hag ameyasema hayo kufuatia kuwepo kwa tetesi zinazomuhusisha nyota huyo kutimka katika viunga vya Old Trafford kufuatia klabu hiyo kutoshiriki katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya maarufu kama UEFA. “Hajaniambia…

Read More