SportsUncategorizedAZIZ KI NI NJANO NA KIJANI Saleh4 years ago4 years ago01 mins MUDA wowote kuanzia sasa huenda Yanga ikamtambulisha nyota wao mpya ambaye ni Aziz KI ambaye anacheza ndani ya kikosi cha ASEC Mimosas. Yanga inaendelea kufanya usajili kwa ajili ya maboresho ya kikosi hicho ambacho kitashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga watawapa kile ambacho mashabiki wao wanasubiri utambulisho wa staa huyo raia wa Ivory Coast. Nyota wengine ambao wametambulishwa Yanga ni pamoja na Bernard Morrison, Gael Bigirimana, Lazarous Kambole na Joyce Lomalisa. Ofisa Habari wa Yanga,Haji Manara ameweka wazi kwamba wanahitaji kufanya usajili makini na mzuri. Post navigation Previous: KIUNGO MPYA ATAMBULISHWA SIMBA RAIA WA GHANANext: KAZI IMEANZA,MAYELE AJA NA STAILI MPYA
Soccer Football - International Friendly - Spain v Brazil - Santiago Bernabeu, Madrid, Spain - March 26, 2024 Spain's Rodri scores their third goal from the penalty spot REUTERS/Violeta Santos Moura Je Fainali ya Kombe la Dunia 2026 Itakuwa Brazil vs Hispania? Saleh12 hours ago 0