
BEKI HUYU MPYA KUTAMBULISHWA YANGA
MUDA wowote kuanzia sasa huenda Klabu ya Yanga ikamtambulisha beki wa kushoto raia wa DR Congo, Joyce Lomalisa Mutambala kwa ajili ya kujiunga rasmi na timu hiyo. Mkongo huyo anajiunga na Yanga akitokea Bravos do Maqui ya Angola. Pia amewahi kucheza GD Interclube ya Angola, AS Vita (DR Congo) na Mouscron (Ubelgiji). Yanga imelazimika kumshusha…