
SIMBA YAMTAMBULISHA RASMI KOCHA,ATOA NENO LAKE
KOCHA Mkuu wa Simba,Zoran Maki leo Julai 12,2022 ametambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Simba ambapo ameweka wazi kwamba anatambua kwenye kila nchi kuna mechi za dabi. Leo amewasili Tanzania raia huyo wa Serbia na anatarajia kukiongoza kikosi hicho kwa muda wa mwaka mmoja ikiwa ni mkataba ambao amesaini kuwatumikia washindi hao wa pili kwenye ligi….