Home Sports MVP BANGALA DAKIKA ZAKE BONGO KWENYE LIGI

MVP BANGALA DAKIKA ZAKE BONGO KWENYE LIGI

YEYE ni mchezaji bora wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22 ambapo kasepa na tuzo tatu mazima msimu huu.

Ni tuzo ya kiungo bora baada ya kuwashinda Feisal Salum na Salum Abouhakari,’Sure Boy’ ,mchezaji bora baada ya kuwashinda Henock Inonga wa Simba nan a Fiston Mayele wa Yanga.

Ile tuzo yake ya tatu ni kuwa kwenye kikosi bora cha msimu hivyo tupo naye leo kwenye mwendo wa data namna hii:-

Dakika zake

Ameyeyusha jumla ya dk 2,074

Mechi

Ni mechi 23 za ligi amecheza

Kadi za njano

Ameonyeshwa kadi tatu za njano kwenye mechi za ligi

Timu ambazo zilisababisha akaonyeshwa kadi za njano ni KMC,Namungo na Biashara United.

Amekosekana katika mechi 7 kati ya 30

Ametoa Pasi ya bao 1 dk 56 mbele ya Dodoma Jiji

Mguu kulia pasi 1 ya bao

Eneo Nje ya 18

Previous articleBANDA APATA TIMU AFRIKA KUSINI
Next articleSIMBA YAFUNGA USAJILI NA MASHINE HIZI TATU,NDANI YA CHAMPION JUMATATU