UPNGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa baada ya kufanya mazoezi kwa muda wa siku mbili wachezaji wengine ambao hawakujiunga na timu hiyo kambini nchini Misri wanatarajiwa kujiunga na timu hiyo.
Wachezaji hao ni pamoja na Nassoro Kapama,Moses Phiri,Taddeo Lwanga na Peter Banda kwa mujibu wa Ahmed Ally,Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba.
Wavre - 2026 FIH Hockey World Cup Belgium & Netherlands (W)
18 Argentina v Scotland (Pool B)
Picture: Victoria Miranda Player of Argentina battles for the ball
COPYRIGHT WORLDSPORTPICS / Rodrigo Jaramillo
No archive allowed