
LUSAJO NEMBO YA MABAO UWANJANI
NEMBO ya Relliats Lusajo ukifika Uwanja wa Mkapa utaiona juu ikiwa metulia, fahari kubwa kwa anachokifanya ni jambo la kujivunia kwa mzawa huyu. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2021/22 alianza kwa kasi ya namna hii kwenye kucheza na nyavu mwisho akagotea namba 10. Pia alikuwa ni namba moja kwenye kutengeneza mabao alitengeneza pasi 6 za mabao…