
VIDEO:SAKHO AWAOMBA MSAMAHA MASHABIKI,AHADI YAKE HII HAPA
PAPE Sakho kiungo wa Simba amesema wanapenda kuona wanapata matokeo kwenye mechi ambazo wanacheza lakini kupoteza mechi inawaumiza hivyo watapambana kupata matokeo kitaifa na kimataifa
PAPE Sakho kiungo wa Simba amesema wanapenda kuona wanapata matokeo kwenye mechi ambazo wanacheza lakini kupoteza mechi inawaumiza hivyo watapambana kupata matokeo kitaifa na kimataifa
INAELEZWA kuwa nyota wa Simba na nahodha wa kikosi hicho, John Bocco mpango wake ulikuwa ni kupata changamoto mpya
MWANDISHI mkongwe kwenye masuala ya habari za michezo, Saleh Ally Jembe amezungumzia suala la Tuisila Kisinda pamoja na Juma Mgunda kujiunga na Simba
MSHAMBULIAJI mkongwe, Diego Costa mwenye miaka 33 anatarajiwa kusaini mkataba mfupi wa mwaka mmoja na Klabu ya Wolves baada ya kupata kibali cha kufanya kazi tena England. Raia huyo wa Hispania aliicheza Chelsea kuanzia 2014-17 alipigiwa simu na Wolves baada ya mshambuliaji wao waliyemnunua katika dirisha hili, Sasa Kalajdzic kuumia goti huku Paul Jimenez akiwa…
MCWANDISHI mkongwe kwenye tasnia ya habari ya micheza, Jembe amebainisha kuwa mchezo wa Yanga v Azam FC kulikuwa kuna kadi nyekundu ilipaswa kutolewa ubao wa Uwanja wa Mkapa uliposoma Yanga 2-2 Azam FC
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anaamini watafanya vizuri kwenye mechi yao dhidi ya Big Bullets inayotarajiwa kuchezwa kesho Jumamosi nchini Malawi ukiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mgunda amekabidhiwa mikoba kwa muda ndani ya Simba ambayo kwa sasa inatafuta kocha mpya baada ya kuachana na Zoran Maki aliyechukua mikoba ya…
KAMPUNI ya michezo ya burudani na ubashiri Sportpesa wikiendi imeshiriki Tamasha maalum la kizimkazi na kuchangia mfuko wa Saccoss ya kina mama kwa ajili ya kuboresha hali zao za kiuchumi. Akizungumza wakati wa tamasha, baada ya kupewa nafasi ya kutoa neno la shukrani, Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Sportpesa Tarimba Abbas, amemshukuru Rais wa…
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ameweka wazi kuwa ni furaha kwake kufunga kwa ajili ya kuipa matokeo timu yake jambo ambalo anaamini kwamba litaendelea. Septemba 6,2022 Feitoto alitupia mabao mawili kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC uliokamilika kwa wababe hao kutoshana nguvu kwa kufungana mabao 2-2. Ni Azam FC waliaza kupachika…
KIKOSI cha Simba ambacho kipo chini ya Kocha Mkuu Juma Mgunda leo Septemba 8 kimeanza safari kuelekea nchini Malawi. Safari hiyo ni kwa ajili ya kuelekea kufanya maandalizi ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali dhidi ya Big Bullets ya Malawi. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Septemba 10,2022 na ule wa marudio unatarajiwa…
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu amesema kuwa makosa ambayeo wameyafanya kwenye mechi tatu mfululizo yamewafanya waadhibiwe kwa kufungwa. Katwila amebainisha kwamba jambo ambalo halikuwa kwenye mpango waoni kupoteza mechi na hakuna mchezaji walakiongozi ambaye anapenda iwe hivyo. “Imetokea tumepoteza kwenye mechi zetu tatu hili ni jambo baya na hakuna ambaye anapenda kuona inakuwa hivyo…
KISA kocha mpya mabosi Simba wavutana, mkataba wambana Morrison Yanga, ndani ya Spoti Xtra, Alhamisi, nakala yake ni 500
USIKU wa Ligi ya Mabingwa Ulaya umewapa furaha Napoli wakiwa Uwanja wa Diego Armando Maradona kwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Liverpool. Ni mchezo wa kwanza kwa Kundi A ambapo Liverpool hawajaamini ambacho wamekiona licha ya kupewa nafasi kubwa ya kuweza kupata ushindi kwenye mchezo huo. Mabao ya Napoli inayoongoza kundi ikiwa na pointi…
JUMA Mgunda amepewa majukumu ya kuwa Kocha Mkuu wa Simba kwa muda akishirikiana na Seleman Matola, wote hawa ni wazawa wanakwenda kukiongoza kikosi hicho dhidi ya Big Bullets ya Malawi, kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika na leo Alhamisi kikosi hicho kinatarajiwa kuondoka
MTIBWA Sugar imebakiza pointi zote tatu Uwanja wa Manungu kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ihefu FC licha ya kutanguliwa kufungwa kwenye mchezo huo. Ilikuwa ni Uwanja wa Manungu ambapo nyota wa Ihefu Andrew Simchimba alipachika ao la kuongoza kwenye mchezo huo dakika ya 8, Septema 7,2022 Mtibwa Sugar mabao yao yamefungwa na…
MZAWA Juma Mgunda ametangazwa kuwa kocha mkuu wa muda wa Klabu ya Simba atashirikiana na Selemani Matola kama kocha msaidizi. Mgunda ataongozana na kikosi cha Simba nchini Malawi kwa ajili ya mchezo wa hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nyasa Big Bullets. Taarifa iliyotolewa na Simba kupitia Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amewapa onyo wachezaji wake ikiwa ni pamoja na Bernard Morrison. Aziz KI kuzidi kuongeza umakini kwenye mechi zai zijazo ili kupata matokeo baada ya sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Azam FC.
MOSES Phiri alitumia dakika mbili kufunga bao la kuongoza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Dakika 90 zilikamilika kwa ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 2-2 KMC na kuwafanya wagawane pointi mojamoja. Kwa KMC, kipindi cha kwanza walikamilisha dakika 45 bila kufunga bao jambo lililowafanya warudi kivingine…