
MAYELE TISHIO JIPYA AFRIKA, SIMBA CAF NYINGINE
MAYELE tishio jipya Afrika, Simba ya Caf ni nyingine kabisa ndani ya Championi Jumatatu
MAYELE tishio jipya Afrika, Simba ya Caf ni nyingine kabisa ndani ya Championi Jumatatu
Unaanzaje wiki yako? Kutana na mfalme wa beti kutoka Meridianbet wiki hii! GM, mteja wetu bingwa kutoka Morogoro ameanza vyema wiki yake kwa kuwa bingwa wa beti wa wiki, baada ya kushinda beti ya Milioni 29 kwa gemu mbali mbali alizoziweka kwenye mkeka wake. Linapokuja suala la kubashiri, kila mmoja anayeweka jamvi huwa na ndoto…
KOCHA Mkuu wa Big Bullets, Kalisto Pasciwa amebinisha kuwa amepoteza mchezo dhidi ya Simba kutokana na makosa ambayo wameyafanya pamoja na uimara wa wapinzani wao Simba jambo lililowafanya wakapoteza kwa kufungwa mabao 2-0, Uwanja wa Mkapa na mabao yakifungwa na Moses Phiri
KATIKA mabao manne ambayo Simba imefunga kimataifa matatu yamefungwa na Moses Phiri ambaye kafunga mechi zote mbili hatua ya awali mfululizo. Mchezo wa awali uliochezwa nchini Malawi dhidi ya Big Bullets Phiri alitupia bao moja na lingine ni mali ya mzawa John Bocco. Leo Septemba 18,2022 wakati Simba ikishinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Big…
BUNDESLIGA moto unawaka baada ya Klabu ya Monchengladbah kuishushia kichapo cha mabao 3-0 RB Leipzig. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Borussia Park staa wao Janas Hofmann alitupia mabao mawili dakika ya 10 na 35. Bao lingine lilijazwa kimiani na Ramy ensebaini ilikuwa dakika ya 53 lilifunga ukurasa wa pointi tatu jumlajumla. Ni mashuti 21,…
LICHA ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Simba, kocha wa Big Bullets amewaonya Simba
MAKAMU Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Fredrick Mwakalebela ameweka wazi kuwa Zalan ingecheza na Msimbazi wangeanga mashindano kimataifa
MOSES Phiri, mshambuliaji wa Simba amefungukia kuhusu bao lake alilofunga kwenye mchezo dhidi ya Big Bullets, ugenini kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika
ERLING Haaland mshambuliaji wa Manchester City wakati timu yake ikishinda mabao 3-0 dhidi ya Wolves ugenini ameandika rekodi nyingine tena. Ni bao la Jack Grealish dakika ya kwanza kisha likapachikwa bao na Haaland mwenyewe dakika ya 16 na lile la tatu ilikuwa ni kazi ya Phil Foden dakika ya 69. Nyota huyo anaweka rekodi ya…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema vijana wake wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Big Bullets. Mgunda amebainisha kuwa historia yakufungwa nyumbani msimu uliopita wa 2021/22 na kutolewa katika hatua za awali anazo hata wachezaji wanajua kuhusu hilo. Huu ni mchezo wa marudio wa Ligi ya Mabingwa…
UKUTA wa Yanga kimataifa ndani ya dakika 180 haujaokota bao katika hatua za awali mbele ya Zalan FC. Mchezo wa kwanza nyota wa Yanga ikiwa ni pamoja na Dickosn Job, Bakari Mwamnyeto, Kibwana Shomari hawakuokota bao sawa na ule wa pili, yote ilichezwa Uwanja wa Mkapa. Ni mabao 9 wameweza kufunga Yanga na kinara wao…
YANGA haishikiki, Mayele aweka rekodi CAF, Zalan wapigwa kama ngoma, Simba v Big Bullets, njooni muone shoo, huyo Phiri hapoi ndani ya Spoti Xtra, Jumapili.
Turejee kutoka kwa mbobevu wa simulizi za Eskimo bwana Knud mpaka kwenye uhalisia wa ushindi wa kasino ya Mtandaoni kwenye Book of Eskimo, kutoka Expanse Studio, pale Meridianbet. Bila shaka kila mmoja anapenda kusikia watu wakismuliana stori kuhusu uthubutu wake na ushujaa alionao – ila hii haitokei pale usipokuwa mshindi! Kasino ya Meridianbet inakusogeza…
NAMUNGO FC imesepa mazima na pointi tatu mbele ya Coastal Union kwa ushindi wa bao 1-0. Kwenye mchezo huo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Majaliwa ni bao la Relliats Lusajo dakika ya 38 limetosha kuipa ushindi. Ni kwa mkwaju wa penalti Lusajo amefunga ikiwa ni bao lake la kwanza kufunga kwa penalti baada ya yale…
MWENDO wa Geita Gold kimataifa umegota mwisho leo Septemba 17,2022 baada ya kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Hilal Al Sahil SC. NI faida ya bao la ugenini wanapata wapinzani wa Geita Gold ambao mchezo wa kwanza uliochezwa ugenini walishinda kwa bao 1-0. Juma ni mabao 2-2 wanakuwa wamefungana na kuifanya Geita Gold kufungashiwa virago…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga ambao wanaiwakilisha Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wameibuka na ushindi mkubwa wa mabao 5-0 dhidi ya Zalan FC. Ni kwenye mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika na kuwafanya washinde kwa jumla ya mabao 9-0 dhidi ya Zalan FC ukiwa ni ushindi mkubwa kutokea kwa hivi…
RELLIATS Lusajo kasi yake ya kucheka na nyavu imezidi kushika kasi baada ya leo kupachika bao lake la tano ndani ya Ligi Kuu Bara. Ni mbele ya Coastal Union dakika ya 38 kwa mkwaju wa penalti kwenye mchezo unaochezwa Uwanja wa Majaliwa,Ruangwa, Lindi. Mzawa huyo kwa sasa ni namba moja kwa kucheka na nyavu akiwa…