
AZAM FC YAIPIGIA HESABU TANZANIA PRISONS
BAADA ya kuvuna pointi tatu kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Mbeya City kwa ushindi wa bao 1-0, hesabu za Klabu ya Azam FC ni kwenye mchezo wao ujao dhidi ya Tanzania Prisons. Septemba 14, kikosi cha Azam FC kilirejea Dar na Ijumaa kilianza mazoezi kwa ajili ya mchezo wao ujao dhidi ya Prisons…