
KOCHA MPYA CHELSEA ASAINI DILI REFU
THOMAS Tuchel alifutwa kazi ndani ya Klabu ya Chelsea baada ya kupoteza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumanne kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Dinamo Zagreb. Mbali na kichapo hicho pia Tuchel hakuwa na mwendo mzuri kwenye mechi za Ligi Kuu England msimu wa 2022/23. Ni Graham Potter aliyekuwa Kocha Mkuu wa Brighton ametangazwa…