SIMBA WATOSHANA NGUVU NA KMC

MOSES Phiri alitumia dakika mbili kufunga bao la kuongoza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Dakika 90 zilikamilika kwa ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 2-2 KMC na kuwafanya wagawane pointi  mojamoja. Kwa KMC, kipindi cha kwanza walikamilisha dakika 45 bila kufunga bao jambo lililowafanya warudi kivingine…

Read More

TUCHEL AFUTWA KAZI CHELSEA

Thomas Tuchel amefukuzwa kazi ndani ya kikosi cha Chelsea na mmiliki wa timu hiyo ikiwa ni miezi mitatu imepita baada ya kuchukua umiliki wa timu hiyo. Ni muda mfupi baada ya timu hiyo kupoteza kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Dinamo Zagreb, ikiwa ni mechi 100 kaweza kukaa kwenye benchi akiwa ndani…

Read More

KMC YAIPIGA MKWARA SIMBA

UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa watacheza pira spana, pira kodi dhidi ya Simba kwenye mchezo ujao wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Leo Septemba 7, KMC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hitimana Thiery itamenyana na Simba inayonolewa na Seleman Matola ambaye ameachiwa mikoa ya Zoran Maki.  Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa…

Read More

RATIBA LIGI UUU BARA LEO

 LEO Septemba 7 Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea ambapo timu zitakuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Simba itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya KMC kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ni Seleman Matola atakiongoza kikosi hicho ambacho kwenye mchezo wa leo baada ya Zoran Maki kufikia makubaliano ya kuvunja…

Read More

ISHU YA KISINDA NA ONYANGO KUJADILIWA TFF

KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji inatarajiwa kukutana Ijumaa kujadili masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na suala la Tusisila Kisinda winga ambaye amesajiliwa Yanga. Ikumbukwe kwamba Kisinda amesajili Yanga akitokea Klabu ya RS Berkane lakini usajili wake umekwama kukamilika kutokana na usajili wake kuchelewa kwa mujibu wa kanuni ya 62, (1) ya ligi kuu…

Read More

YANGA WATOSHANA NGUVU NA AZAM FC

AZAM FC licha ya kutangulia kuanza kufunga mbele ya Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa walikwama kusepa na pointi tatu jumlajumla. Ikiwa chini ya Kali Ongala, ambaye ni kocha wa washambuliaji walianza kupachika bao la kuongoza kupitia kwa Daniel Amoah dakika ya 25 kisha Yanga wakafunga bao la kusawazisha kupitia…

Read More

MERIDIANBET WAINGIA LIGI KUU, WAMWAGA PESA KWA KMC!

Wiki imeanza vyema zaidi kwa Klabu ya soka ya KMC, ambao wamepata mdhamini mpya, ikiwa ni neema kwa klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania. KMC wameingia rasmi mkataba wa udhamini na klabu ya Meridianbet, ambao ni mabingwa na Kampuni ya kwanza ya ubashiri Tanzania. KMC imekuwa ni klabu inayokua kwa kasi tangu kuanzishwa…

Read More

KIKOMBE CHA KOCHA MPYA AZAM FC KICHUNGU

KIKOMBE cha mrithi wa mikoba ya Abdi Hamid Moallin aliyekuwa kocha mkuu wa Azam FC ambacho kipo mikononi mwa Daniel Cadena ambaye ni kocha wa makipa ni kichungu kwa kuwa anakutana na timu ambayo haijafungwa. Ni mchezo dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 6 zikiwa zimebaki siku tano kabla ya timu hizo…

Read More

KOCHA YANGA AWAPA TAHADHARI WACHEZAJI WAKE

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa jambo la msingi kwenye kila mchezo ni wachezaji wao kutambua kwamba lazima wawaheshimu wapinzani ili kupata matokeo chanya. Yanga ikiwa imecheza mechi mbili imeshinda zote ilikuwa Polisi Tanzania 1-2 Yanga na Coastal Union 0-2 Yanga mechi zote zilichezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Kete ijayo ni…

Read More

KOCHA MPYA AZAM FC HUYU HAPA

AZAM FC imefikia makubaliano na Denis Lavagne, kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo inayotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zake za nyumbani. Kocha huyo raia wa Ufaransa ana leseni ya juu ya ukocha (UEFA Pro Licence), anaibuka Azam FC kuchukua mikoba ya Abdihamid Moallin. Lavagne anatarajia kutua nchini leo Jumanne, tayari kuanza rasmi majukumu yake…

Read More

RATIBA YA LIGI KUU BARA

 LIGI Kuu Tanzania Bara leo Septemba 6 inaendelea kwa mechi mbili kuchezwa katika viwanja tofauti. Geita Gold wao watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Kagera Sugar, mchezo utakaochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Geita Gold ipo nafasi ya 13 na pointi moja inakutana na Kagera Sugar iliyo nafasi ya 16 haijakusanya pointi. Kagera Sugar…

Read More

USAJILI WA KISINDA MAMBO BADO

IMEELEZWA kuwa nyota mpya wa kikosi cha Yanga, Tuisila Kisinda hatakuwa sehemu ya kikosi cha msimu mpya wa 2022/23 kutokana na usajili wake kushindwa kukamilika. Usajili huo umekwama kukamilika jambo ambalo limeleta sintofahamu kubwa kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya klabu hiyo kuandikiwa barua wakizuiwa kuwa naye kutokana kwa kuwa imekamilisha uhamisho wa wachezaji…

Read More