CHAMA APEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA

NYOTA wa Simba, Clatous Chama ametanagazwa kuwa mchezaji bora kwa mwezi Agosti kwa kupata kura nyingi kutoka kwa mashabiki. Kiungo huyo ameanza kwa kasi msimu wa 2022/23 ambapo kwenye mechi mbili za ligi kafunga bao moja katoa pasi moja ya bao na kasababisha faulo moja iliyoleta bao ilikuwa kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Geita…

Read More

YANGA NA AZAM FC KAMILI KUVAANA KWA MKAPA

TAMBO zimetawala kwa makocha wa Yanga na Azam FC kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa kesho Septemba 6,2022 Uwanja wa Mkapa. Yanga inayofundishwa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi itakuwa nyumbani kwa mara ya kwanza msimu wa 2022/23 baada ya kucheza mechi mbili ikiwa ugenini. Ilikuwa mchezo dhidi ya  Polisi Tanzania,ambapo ubao ulisoma…

Read More

KUWAONA MAYELE,AZIZ KI, DUBE NI BUKU TANO

 SEPTEMBA 6, Uwanja wa Mkapa, ni Dar Dabi kati ya Yanga v Azam FC, ambapo kuwaona mastaa wa timu hizo mbili wakisaka ushindi ikiwa ni pamoja na Dennis Nkane, Fiston Mayele, Bernard Morrison na Aziz Ki kwa Yanga ni buku tano, (5,000). Kwa upande wa Azam FC ambao ni wageni kwenye mchezo huo wapo nyota…

Read More

AZAM FC TATU ZAKE ZOTE UGENINI

KIKOSI cha matajiri wa Dar, Azam FC kina kete tatu ndani ya Septemba kwenye msako wa pointi tatu muhimu huku zote wakiwa ugenini kwenye dakika zote 270. Timu hiyo ilianza kwa kutupa kete mbili ikiwa Uwanja wa Azam Complex iliambulia pointi nne kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar na sare ya kufungana…

Read More

BRIGHTON WAPINDUA MEZA, WATEMBEZA 5G

LICHA ya Leicester City kuanza kupata bao la mapema kuongoza dakika ya kwanza halikuwapa nguvu ya kukusanya pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Brigton. Ni Kelechi Iheanacho alianza kupachika bao lakuongoza mapema kabisa kipindi cha kwanza dakika ya kwanza na bao la pili kwa timu hiyo lilifungwa na Patson Daka yeye…

Read More

ARSENAL WACHANA MKEKA

ARSENAL inayonolewa na Kocha Mkuu, Mikel Arteta imepoteza kwa mara ya kwanza msimu wa 2022/23 kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Old Trafford. Kwenye mchezo huo uliokuwa na kasi kubwa watupiaji ni Antony dakika ya 35, Marcus Rashford huyu alitupia mawili dakika ya 66…

Read More

RWEYEMAMU:MAFANIKIO YA SIMBA HUWEZI MUACHA GEMBE

PATRICK Rweyemamu, Meneja wa Simba ameweka wazi kuwa mafanikio ya timu hiyo huwezi kuyataja na kumuweka pembeni Dk Yassin Gembe. Gembe alitangulia mbele za haki Septemba 2,2022 ambapo taarifa ilitolewa na uongozi wa Simba ilieleza Gembe aliyekuwa daktari wa timu ya wanaume (Senior Team) kilitokea kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Leo Septemba 4, imefanyika ibada…

Read More

RATIBA YA MECHI ZA YANGA SEPTEMBA

HII hapa ratiba ya Yanga, ndani ya mwezi Septemba mechi za kitaifa na kimataifa zipo namna hii:-  Septemba 6,2022, Uwanja wa Mkapa, saa 1:00 usiku. Septemba 10,2022, Uwanja wa Azam Complex, saa 10:00 jioni, Zalan v Yanga mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Septemba 13,2022, Uwanja wa Mkapa, Yanga v Mtibwa Sugar, saa 1:00 usiku….

Read More

LIVERPOOL MWENDO WAKE MGUMU

LICHA ya kuwa na mastaa wake wote ndani ya kikosi cha Liverpool ikiwa ni Mohamed Salah, Roberto Firmino, Virgil Van Djik waliambulia pointi moja mbele ya Everton kwenye Merseyside Dabi. Unakuwa ni mchezo wa tatu kwa Liverpool kupata sare msimu huu ikiwa imecheza mechi sita, imeshinda mbili na ilinyooshwa mbele ya Manchester United jambo linaloonesha…

Read More