
ISHU YA KISINDA NA ONYANGO IMEGOTEA HAPA
BEKI Joash Onyango anatajwa kubaki Simba SC mpaka mkataba wake utakapogota mwisho huku Tuisila Kisinda wa Yanga akitajwa kuwa nafasi yake itakuwa ndani ya kikosi hicho mpaka dirisha dogo. Mashauriano ya wachezaji haya yalikuwa yanasikilizwa na Kamati ya Sheria, Wanachama na Hadhi za Wachezaji ambapo Kisinda yeye alisajiliwa muda mfupi kabla dirisha la usajili kufungwa…