Home Sports VIDEO:WACHEZAJI WAMETUHESHIMISHA WANASIMBA

VIDEO:WACHEZAJI WAMETUHESHIMISHA WANASIMBA

AHMED Ally, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya kikosi cha Simba ameweka wazi kuwa wachezaji wamefanya kazi kubwa kimataifa jambo ambalo limekuwa ni heshima kwao kwa kupata ushindi mbele ya Big Bullets mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa ugenini

Previous articleLUSAJO AIMALIZA RUVU SHOOTING UWANJA WA MAJALIWA
Next articleYANGA YASAINI MIKATABA MIWILI, BILIONI KUKUSANYWA