IBRAHIM AJIBU ANAISHI ULIMWENGU WAKE

STAA wa Azam FC, Ibrahim Ajibu anaishi kwenye ulimwengu wake ndani ya kikosi hicho kwa kuwa tangu amejiunga na matajiri hao wa Dar hana uhakika wa kuanza kikosi cha kwanza. Ajibu aliibuka Azam FC akitokea Simba aliahidi kuwa atafanya jitihada kutimiza majukumu yake ndani ya timu hiyo pamoja na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa…

Read More

YANGA WAPATA HASIRA KIMATAIFA

CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa makossa ambayo waliyafanya msimu uliopita kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na kutolewa mapema yamewapa hasira ya kupambana kuyafuta. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2021/22 kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga ilifungashiwa virago hatua ya awali kwa jumla ya mabao 2-0 dhidi ya Rivers United.  Kaze amesema kuwa wanatambua…

Read More

MASTAA AZAM KUIFUATA LIBYA, 7 WABAKI

 KIKOSI cha wachezaji 25 wa Azam FC wanatarajiwa kukwea pipa kesho Oktoba 6,2022 kuelekea nchini jijini Benghazi, Libya kesho Alhamisi saa 11.25 Alfajiri. Miongoni mwa mastaa watakaokuwa kwenye msafara huo ni pamoja na kipa namba moja Ali Ahmada,Lusajo Mwaikenda,Bruce Kangwa, James Akaminko.  Safari hiyo ni kwa ajili ya kwenda kuikabili Al Akhdar ya Libya kwenye mchezo…

Read More

HESABU ZA SIMBA DAKIKA 180 KIMATAIFA

 ANGA la kimataifa ndani ya dakika 180 litakutana na pumzi ya moto kutoka kwa vijana wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda baada ya kuweka wazi kuwa vijana wake wapo tayari. Simba inatarajiwa kumenyana na de de Agosto na wataanzia ugenini Oktoba 9 nchini Angola kwenye mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.  Mgunda…

Read More

VIUNGO WA KAZI YANGA WAANDALIWA KUIVAA AL HILAL

VIUNGO wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ikiwa ni pamoja na Tuisila Kisinda, Bernard Morrison, Jesus Moloko ni miongoni mwa nyota wanaondaliwa kwa ajili ya kuikabili Al Hilal ya Sudan. Mbali na hao pia nyota wa kazi chafu Yannnick Bangala ambaye ni kiraka naye yupo kwenye mpango kazi wa mchezo ujao unaotarajiwa kuchezwa…

Read More

KOCHA MPYA SIMBA QUEENS ATAJA KILICHOMLETA BONGO

KOCHA mpya wa Simba Queens, Charles Ayiekoh Mbuzi ameweka wazi sababu ya kujiunga na timu hiyo. Kocha huyo ameeleza jinsi viongozi wa Simba walivyoanza mchakato wa yeye kujiunga na Simba Queens hadi akamwaga wino. “Mara baada ya mchezo wa fainali dhidi ya Simba Queens, uongozi wa Simba ulipendezwa na uwezo wangu ambapo meneja Selemani Makanya…

Read More

IHEFU YAAMBULIA POINTI LIGI KUU BARA

IKIWA Uwanja wa Highland Estate, leo Oktoba 4,2022 Klabu ya Ihefu imekusanya pointi moja kwa mara ya kwanza msimu wa 2022/23. Ikumbukwe kwamba Ihefu inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mwambusi kwenye mechi nne mfululizo ilipoteza mechi zake na mchezo wake wa mwisho kabla ya leo ilifungwa mabao 2-1 KMC. Sare ya kufungana bao 1-1 dhidi…

Read More