
VIDEO:MASHABIKI SIMBA WATOA SHOMBO KWA YANGA
MASHABIKI wa Simba wameweka wazi kuwa kimataifa watafanya kazi kubwa kupata ushindi kwenye mechi za kimataifa
MASHABIKI wa Simba wameweka wazi kuwa kimataifa watafanya kazi kubwa kupata ushindi kwenye mechi za kimataifa
THIS is Simba, kwani nyie mnafeli wapi? Yanga SC inapenya Sudan ndani ya Championi Jumatatu
ARSENAL inazidi kujiimarisha kwenye nafasi ya kwanza baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Liverpool na kuifanya kuwa kwenye ubora wake chini ya Kocha Mkuu, Mikel Arteta. Uwanja wa Emirates mapema kabisa katika dakika ya kwanza Gabriel Martinelli kisha misumari miwili ilipachikwa na Bukayo Saka dakika ya 45 na dakika ya 76 kwa mkwaju…
WAKIWA ugenini leo Oktoba 9,2022 Simba imeshinda kwa jumla ya mabao 3-1 dhidi ya de Agosto kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Bao la mapema kwa Simba lilifungwa na Clatous Chama dakika ya 8 akitumia pasi ya Agustin Okra. Bao la pili ni mali ya Israel Mwenda ambaye ni beki alipachika bao hilo dakika…
BAO la Clatous Chama ni la kwanza kufungwa ugenini na dakika 45 zimekamilika de Agosto 0-1 Simba, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Ni pasi ya Augustino Okra imetumika dakika ya 8 ikiwa ni mapema kabisa kwenye mchezo huo. Utulivu wa Chama umeipa uongozi Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda na msaidizi wake Seleman…
SIMBA leo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya de Agosto ya Angola, hiki hapa kikosi kinachotarajiwa kuanza
PSG wanatajwa kuwa kwenye hesabu za kuiwinda saini ya mshambuliaji wa Chelsea, Pierre Emerick Aubameyang. Ripoti kutoka Ufaransa zimeeleza habari hiyo kuhusu dili la staa huyo wa Chelsea. Auba alijiunga na Chelsea akitokea Barcelona kwa dili la pauni milioni 10 na amefunga mabao mawili kwenye mechi nne. Inaelezwa kuwa Auba yupo tayari kurejea Ufaransa kucheza…
UZOEFU wa nyota wa kimataifa waliopo ndani ya kikosi cha Yanga ikiwa ni pamoja na Djuma Shaban, Yannick Bangala na Tuisila Kisinda ni sababu ya Yanga kuwa imara. Chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, Yanga imecheza mechi 42 za ligi bila kupoteza na jana wametoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1Al Hilal. Kocha Mkuu wa…
KUPANGA ni kuchagua ikiwa mpango kazi wa kwanza ulikwama basi kuna mpango wa pili ambao huwa na maamuzi ya mwisho kwenye ulimwengu wa mpira. Kila mmoja kwa sasa macho na maskio ni kwenye mechi za kimataifa ambazo wawakilishi wetu wapo huko wakipambania kombe. Azam FC wao kazi yao ni dhidi ya Al Akhadar ya Libya…
REKODI zinaibeba Simba,tulieni kazi haijaisha, Mayele ambeba tuzo Afrika ndani ya Spoti Xtra Jumapili
DAKIKA 90 zimekamilika, Uwanja wa Mkapa kwa timu zote mbili kutoshana nguvu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Ubao umesoma Yanga 1-1 Al Hilal, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya Pili, mchezo ujao Yanga wanakibarua cha kusaka ushindi ugenini ili kukata tiketi ya kutinga hatua ya makundi. Watupiaji ni Fiston Mayele dakika…
MSAFARA wa wachezaji wa Simba pamoja na benchi la ufundi umewasili salama nchini Angola leo Oktoba 8,2022 kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya de Agosto. Ni jumla ya wachezaji 24 ambao walikuwa kwenye msafara huo miongoni mwao ni pamoja na Aishi Manula, Ally Salim na…
KIKOSI cha Yanga kinachotarajiwa kuanza leo Oktoba 8,2022 dhidi ya Al Hilal mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kipo namna hii:- Diarra Djuma Kibwana Job Bangala Aucho Feisal Moloko Mayele Aziz KI Morrison Akiba ni:- Mshery Bacca Nondo Lomalisa Mauya Sure Boy Kisinda Farid Makambo
IMEELEZWA kuwa Yanga wameambiwa wamlipe Luc Eymael aliyekuwa kocha wa timu hiyo msimu wa 2020 kiasi cha dola milioni 152 za kimarekani. Taarifa kutoka Shirikisho la Soka Kimataifa, (FIFA) imeeleza kuwa Yanga wamepewa siku 45 kulipa fedha hizo. Ikiwa watakwama kukamilisha shauri hiyo kwa muda wa siku 45 watapewa adhabu ya kufungiwa kufanya usajili kwenye…
Ile kampuni kubwa duniani na maarufu kwa utengenezeji wa games Expanse Studios wanakuja na kitu kipya mjini, mzigo wenyewe ni haujawahi kutangazwa sehemu yeyote ile, ni tukio la uzinduzi wa sloti mpya Zaidi. Ni wiki chache tu baada ya kushiriki katika Mkutano wa SBC mjini Barcelona, wenye Sloti mpya zaidi, kama Pirate’s Power, Magic Wheel…
MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Erling Haaland ambaye ametua ndani ya timu hiyo kwa pauni milioni 51 akitokea Borussia Dortmund anakunja mkwanja mrefu kinomanoma. Staa huyo mwenye miaka 22 analipwa vizuri ndani ya Etihad inaelezwa kwamba ukiweka kando bonasi anazopokea kwa wiki anakunja pauni 850,000 (bilioni 2.2 za Kitanzania). Ukicheki mshahara wa nyota huyo na zile…
MATAJIRI wa Dar Azam FC leo watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika raundi ya Pili dhidi ya Al Akhdar ya Libya. Jana wachezaji hao walifanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya kuanza kuzikimbiza dakika 90 wakiwa ugenini. Ni nyota 25 wapo nchini Libya miongoni mwao ni pamoja na…