MRITHI WA MIKOBA YA DJUMA HUYU HAPA

MELIS Medo, ametangazwa kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Dodoma Jiji kwa msimu wa 2022/23. Kocha huyo anachukua mikoba ya Masoud Djuma ambaye alifikia makubaliano ya kuachana na timu hiyo Oktoba 10,2022. Sababu kubwa ya Djuma ambaye aliwahi kuwa kocha msaidizi ndani ya Simba ni kutokana na mwendo mbovu wa timu hiyo msimu wa 2022/23…

Read More

HAALAND NI MWENDO WA REKODI TU

 NYOTA wa Manchester City, Erling Haaland ameendelea kuweka rekodi katika safari yake ya soka akifanikiwa kufunga mabao zaidi ya 20 kwa misimu minne mfululizo. Haaland ameendelea kuwa tishio ndani ya Premier League msimu huu ikiwa ni mara ya kwanza kwa nyota huyo kucheza hapo. Ndani ya Premier League, Haaland amefunga mabao 15, ambapo amefunga katika…

Read More

KLOPP AMSHUTUMU KOCHA MKUU ARSENAL

 JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amemshutumu Kocha Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta kwa kumpa presha mwamuzi wa mchezo huo Michael Oliver. Jumapili Arsenal ilifanikiwa kushinda mabao 3-2 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu England Uwanja wa Emirates. Penalti ya staa Bukayo Saka ambayo ilizua utata na ilileta bao la tatu kwa Arsenal…

Read More

YANGA WAJA NA MBINU MPYA

BAADA ya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 1-1 Al Hilal mastaa wa Yanga wamerejea kambini na kuanza mazoezi kwa ajili ya mchezo wao wa marudio. Mpango mpya kwa sasa ni kuwarejesha mastaa wote kwenye ubora wao na kufanyia kazi makosa ambayo walifanya mchezo uliopita Oktoba 8,2022. Jumapili ya Oktoba 16,2022 mchezo huo unatarajiwa…

Read More

DODOMA JIJI KUUNDA BENCHI JIPYA LA UFUNDI

WALIMA Zabibu kutoka makao makuu ya Tanzania, Dodoma Jiji wamefikia makubaliano ya pande zote mbili kuvunja mkataba wa Masoud Djuma ambaye alikuwa ni kocha mkuu. Mbali na Djuma ni benchi lote la ufundi la timu hiyo limevunjwa kwa ajili ya kufanya maboresho upya. Ni Mohamed Muya huyu alikuwa ni kocha msaidizi ndani ya Dodoma Jiji…

Read More

FEI TOTO ATWAA TUZO BONGO

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Septemba ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Kiungo huyo ametwaa tuzo hiyo akiwashinda Moses Phiri mshambuliaji wa Simba na Relliats Lusajo wa Namungo. Taarifa iliyotolewa na Kamati ya Tuzo ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imeeleza kuwa mchezaji huyo alichaguliwa kutokana na kuonyesha uwezo…

Read More

MGUNDA ANAAMINI KAZI BADO, NDANI YA DAR

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ushindi ambao wameupata ugenini kwenye mchezo dhidi ya de Agosto ya Angola unatokana na jitihada za wachezaji pamoja na mipango ya Mungu. Kikosi cha Simba jana Oktoba 9,2022 kiliibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya de Agosto kwenye mchezo ambao walikuwa ugenini. Leo kikosi kimerejea kwa…

Read More

MANCHESTER UNITED YAICHAPA EVERTON

BAO la mapema Alex Iwobi ambalo alifunga dakika ya 5 halikutosha kuwapa pointi tatu mbele ya Man Chester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. Ni Antony aliweka usawa dakika ya 15 na kufanya ubao wa Uwanja wa Goodison Park kusoma Everton 1-1 United. Dakika ya 44 Cristiano Ronaldo alipachika bao la ushindi na kuifanya…

Read More