
HUYU HAPA MBUTUA FUKO LA MILIONI 20
BAO la kiungo wa Yanga, Feisal Salum dakika ya 89 limebutua fuko la shilingi milioni 20 ambazo waliahidiwa wachezaji wa Prisons kubeba ikiwa watashinda mchezo huo na kama wangeambulia sare milioni 10. Ahadi hiyo ilitolewa na Ofisa Masoko wa Kampuni ya Silent Ocean, Mohamed Kamilagwa ikumbukwe kwamba hao ni wadhamini wakuu wa Tanzania Prisons. Desemba…