
MTAMBO WA KUMWAGA MAJALO YANGA KUPEWA DILI JINGINE
HUENDA mabosi wa Yanga wakamuongezea dili jingine mzee wa kumwaga maji ndani ya kikosi hicho Jesus Moloko. Nyota huyo mkataba wake unatarajia kugota ukingoni mwishoni mwa msimu huu hivyo kama hataongezewa anaweza kujiunga na timu nyingine bure. Moloko ni namba moja kwa kutengeneza pasi za mwisho ndani ya Yanga msimu wa 2022/23 akiwa ametoa jumla…