
CHAMA CHA WASIOONA TANZANIA WANEEMEKA NA MSAADA KUTOKA MERIDIANBET
Chama cha Wasioona Tanzania (TLB) kwa furaha kubwa wamepokea msaada wa fimbo za kutembelea “White canes” kutoka Meridianbet Tanzania ikiwa ni moja ya utamaduni wa kampuni hiyo kuyashika mkono makundi yenye mahitaji maalum pamoja na jamii kwa ujumla kwa kutoa misaada mbalimbali. Akitoa ushuhuda wake akiwa haamini kile kilichotokea, Katibu wa Chama hicho ndugu Iddi…