
RIPOTI YA MGUNDA MEZANI, JINA LA MANZOKI LINAJADILIWA
KUELEKEA usajili wa dirisha dogo, uongozi wa Simba umeweka wazi kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, Juma Mgunda, tayari amekutana na viongozi wa Bodi ya Wakurugenzi na kuwasilisha ripoti ya maboresho ya kikosi chake, huku jina la straika, Cesar Manzoki likijadiliwa kwa ukubwa. Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa Desemba 16, mwaka huu na kufungwa…