
HAZARD ASTAAFU MAJUKUMU YA TIMU YA TAIFA
EDEN Hazard nyota wa timu ya Real Madrid ameamua kustaafu kutumika majukumu ya Timu ya Taifa ya Ubelgiji baada ya timu hiyo kufungashiwa virago kwenye Kombe la Dunia hatua ya makundi huko Qatar,2022. Nahodha huyo wa timu ya taifa amefunga jumla ya mabao 33 kwenye mechi 126 ambazo amecheza na timu hiyo tangu akiwa na…