
FEI, MAYELE KUIBUKIA POLISI TANZANIA
CEDRICK Kaze, kocha msaidizi wa Yanga amesema moja ya sababu iliyowafanya wasitumie wachezaji wote kwenye mchezo wao dhidi ya Kurugenzi FC ni kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania. Yanga ambao ni mabingwa watetezi kwenye mchezo wa raundi ya Pili Kombe la Shirikisho waliibuka na ushindi wa mabao 8-0 huku…