
KAZI IPO KESHO UWANJA WA MKAPA
KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho wa dabi ya Kariakoo upande wa Wanawake, Simba Queens v Yanga makocha wote wameweka wazi kwamba wapo tayari kwa mchezo huo. Simba Queens ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi ya Wanawake Tanzania watawakaribisha Yanga Princess Uwanja wa Mkapa. Kocha Mkuu wa Yanga Princess ambaye ameibuka hapo muda mfupi baada ya…