
MASTAA HAWA YANGA WAMEKALIA KUTI KAVU, MMOJA AONGEZWA KIKOSINI
KWENYE orodha ya mastaa wanaotajwa kuwekwa kwenye hesabu za kuondolewa ndani ya Yanga ni pamoja na Gael Bigirimana, Heritier Makambo,Tuisila Kisinda. Ni majina mawili yataondolewa Yanga kwa wachezaji wa kigeni ili kupata wawili watakaoingia kwenye kikosi cha kwanza kwa sababu idadi ya nyota 12 inayohitajika imetimia. Ni nyota wawili ambao wanatarajiwa kurejea kikosi cha kwanza…