
AZAM FC YATUMIA DAKIKA 15 KUISHUSHA SIMBA
DAKIKA 15 ziliwatosha Azam FC kuiondoa nafasi ya pili Simba kwa kupata ushindi mbele ya Polisi Tanzania. Uwanja wa Ushirika, Moshi umesoma Polisi Tanzania 0-1 Azam FC ikiwa ni bao la dakika ya 15 kupitia kwa mtambo wao wa mabao Ayoub Lyanga. Hili linakuwa bao la kwanza kwa nyota huyo kufunga na kuipa pointi tatu…