
TUNISIA SAFARI IMEWAKUTA LICHA YA KUSHINDA
LICHA ya timu ya taifa ya Tunisia kutoka Afrika kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ufaransa kwenye mchezo wa makundi Kombe la Dunia, Qatar 2022 safari yao imegota ukingoni. Mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa, Ufaransa walianzisha wachezaji wake wengi nyota benchi kwa kuwa inaonekana kuwa mbinu ya benchi la ufundi ilikuwa ni kuwapumzisha…