
KIBU ACHEKA NA NYAVU, GEITA 0-5 SIMBA
MWAMBA Kibu Dennis leo Desemba 18,2022 amefungua akaunti yake ya mabao kwenye Ligi Kuu Bara. Wakati ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ukisoma Geita Gold 0-5 Simba nyota huyo katupia bao moja dakika ya 89. Bao hilo ametupia akitumia pasi ya kiungo namba moja wa pasi za mwisho ndani ya Simba Clatous Chama aliyetoa kwa…