
AZAM FC NI MOTO KWENYE LIGI
KWENYE timu ambazo zimefunga kwa rekodi matata ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 huwezi kuiweka kando Azam FC. Licha ya mechi zake kuwa na ushindani mkubwa pamoja na adhabu kwa baadhi ya wachezaji kama ilivyotokea mchezo wa Azam FC 3-2 Coastal Union bado boli inatembea. Ni Ayoub Lyanga huyu ni mtambo wa mabao…