
HUYU HAPA MCHEZAJI BORA YANGA V PRISONS, ALIKIWASHA
WEKA kando kutunguliwa bao moja mbele ya Yanga kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, bado uimara wa kipa aliyeanza ulikuwa kwenye kiwango. Desemba 4, wakati ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Yanga 1-0 Tanzania Prisons,mchezaji bora kwa upande wangu alikuwa ni kipa Hussein Abel. Jitihada zake ndani ya dakika 89 zilikuwa kubwa mwanzo mwisho akikamilisha…