
COASTAL UNION 0-0 SIMBA
MILANGO ni migumu kwa timu zote mbili ambazo zinasaka pointi tatu pale Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Ubao baada ya dakika 45 za mwanzo kukamilika umesoma Coastal Union 0-0 Simba. Coastal Union wao hawana matatizo kuingia ndani ya 18 bali wanafanya majaribio wakiwa nje ya 18 kupitia kwa Majimengi amaye anawapa tabu mabeki wa Simba. Simba…