MOROCCO WAPETA, UBELGIJI MAJANGA

MWAMBA Hakim Ziyech nyota wa timu ya taifa ya Morocco alichaguliwa kuwa nyota wa mchezo wakati timu hiyo ikiibamiza mabao 2-1 timu ya taifa ya Canada. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Al Thumama mbele ya mashabiki 43,102 Canada walifungashiwa virago mazima wakigotea nafasi ya nne. Bao ambalo walilipata ilikuwa ni kupitia kwa nyota Nayef…

Read More

HIZI HAPA TIMU ZITAKAZOMENYANA HATUA YA RAUNDI YA PILI

JANA droo ya raundi ya Pili ya Kombe la Azam Sports Federation Cup ilichezwa ambapo mabingwa watetezi wa taji hilo Yanga waliwatambua wapinzani wao. Mechi hizo zinatarajiwa kuanza kuchezwa Disemba 9-11, 2022 ambapo Yanga itamenyana na  Kurugenzi FC kwa upade wa watani zao wa jadi Simba  wao watamenyana na Eagle. Kwa upande wa Azam FC wao…

Read More

TUNISIA SAFARI IMEWAKUTA LICHA YA KUSHINDA

LICHA ya timu ya taifa ya Tunisia kutoka Afrika kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ufaransa kwenye mchezo wa makundi Kombe la Dunia, Qatar 2022 safari yao imegota ukingoni. Mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa, Ufaransa walianzisha wachezaji wake wengi nyota benchi kwa kuwa inaonekana kuwa mbinu ya benchi la ufundi ilikuwa ni kuwapumzisha…

Read More

DODOMA JIJI WAREJEA NYUMBANI

UONGOZI wa Dodoma Jiji umsema kuwa utaanza kutumia Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kwenye mechi za nyumbani baada ya kufunguliwa. Uwanja huo ulikuwa umefungiwa kwa matumizi kutokana na kutokidhidi vigezo hivyo kufunguliwa kwake ni baada ya vigezo kukamilika. Ofisa Habari wa Dodoma Jiji, Moses Mpunga amesema kuwa wamepokea taarifa hizo kwa furaha na itakuwa ni mwanzo…

Read More

MABINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO KUANZA NA KURUGENZI

MABINGWA watetezi wa Kombe la Azam Sports Federation, Yanga kwenye mchezo wao wa raundi ya Pili wataanza na Kurugenzi FC. Yanga ni mabingwa watetezi ambao walitwaa ubingwa huo uliokuwa mikononi mwa watani zao wa jadi Simba. Kikosi hicho kipo chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi akifanya kazi kwa ukaribu na Cedric Kaze ambaye ni msaidizi….

Read More

HAWA HAPA WAPINZANI WA SIMBA KOMBE LA SHIRIKISHO

KWENYE droo ya Azam Sports Federation raundi ya pili ambayo imechezwa leo Novemba 30,2022 Simba imewatambua wapinzani wake. Ni kikosi cha Eagle kitapambana na Simba kusaka ushindi kwenye mchezo wao huo ujao. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kati ya Desemba 9-11, 2022 ambapo Simba waliweka wazi kuwa wanahitaji kutwaa taji hilo. Mabingwa watetezi wa taji hilo…

Read More