
YANGA:MECHI DHIDI YA IHEFU NI NGUMU
CEDRICK Kaze, kocha msaidizi wa Yanga amesema kuwa mechi yao dhidi ya Ihefu ni ngumu kuliko mchezo wa Dabi. Leo Yanga ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate. Yanga imetoka kushinda mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City na mabao yote yalifungwa…