MSHINDI WA PROMOSHENI YA BETI NA KITOCHI MERIDIANBET

Kila mmoja ana ndoto kubwa ya kumiliki vitu vizuri, lakini vikwazo vya Maisha na bajeti kubana hukwamisha ndoto ya wengi kumiliki vitu wanavyovitaka, kwa kulitambua hili kampuni ya Meridianbet waliamua kurahisha mipango yako, kwenye promosheni ya shinda TV ukibeti na kitochi. Ilichukua siku kadhaa mpaka kumpata Bingwa wa kubeti na kitochi mwanafamilia wa Meridianbet anayejulikana…

Read More

KOMBE LA DUNIA ROBO FAINALI ZA KIBABE

MECHI za hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Dunia zinatarajiwa kuanza kazi leo Ijumaa ambapo miamba wa soka Ulaya na Amerika Kusini inatarajia kupambana. Mechi ya mapema zaidi leo Ijumaa inatarajiwa kuwa kati ya Croatia dhidi ya Brazil majira ya saa 12:00 jioni kwa Bongo halafu baadaye Uholanzi wakimenyana na Argentina saa…

Read More

AZAM FC KUTUPA KETE YAO DHIDI YA MALIMAO

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Kali Ongala ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Azam Sports Federation leo dhidi ya Malimao. Huu ni mchezo wa raundi ya Pili ambapo Azam FC itakuwa mwenyeji kwenye mchezo wa leo Desemba 9 2022 unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku. Ongala amebainisha kuwa…

Read More

MWAMBA AZIZ KI, MTAMBO WA MAPIGO HURU

KWA mzunguko wa kwanza majukumu ya mipira iliyokufa ndani ya kikosi cha Yanga yalikuwa kwenye miguu ya Aziz KI. Nyota huyu bado hajaonyesha makeke yake kama ilivyokuwa ndani ya ASEC Mimosas lakini taratibu anazidi kuimarika. Ni mabao mawili ametupia ndani ya ligi msimu huu wa 2022/23 ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu,…

Read More

MTAMBO WA MABAO WAREJEA AZAM FC

 NDANI ya kikosi cha Azam FC namba moja kwa utupiaji ni Idris Mbombo ambaye ametupia mabao sita kibindoni. Hakuwa kwenye mechi za mwisho za mzunguko wa ligi kwa kuwa hakuwa fiti lakini tayari kwa sasa ameanza mazoezi kwa ajili ya kurejea uwanjani mzunguko wa pili. Miongoni mwa mechi ambayo alikosekana ni ile yakufungia mzunguko wa…

Read More

MAYELE, MGUNDA WASEPA NA TUZO NOVEMBA

NYOTA wa Yanga Fiston Mayele amechaguliwa kuwa mchezaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Kwa mujibu wa Kamati ya Tuzo ya TFF imeeleza kuwa haikumuhusisha kocha wa Azam FC kwa kuwa timu hiyo haikuwa na kocha mkuu kwa Novemba. Ikumbukwe kwamba Azam FC ipo chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Kali Ongala ambaye…

Read More

MITAMBO YA PENALTI SIMBA HII HAPA

 SIMBA imekamilisha mzunguko wa pili msimu wa 2022/23 huku safu yake ya ushambuliaji ikiwa imetupia mabao 31. Kweye mabao hayo ni mawili yamefungwa kutokana na penalti ilikuwa dhidi ya Geita Gold ambapo mtupiaji alikuwa ni Clatous Chama. Aliyesababisha penalti hiyo ni Augustino Okra kisha penalti ya pili ilikuwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga walipocheza na Coastal…

Read More

HAZARD ASTAAFU MAJUKUMU YA TIMU YA TAIFA

EDEN Hazard nyota wa timu ya Real Madrid ameamua kustaafu kutumika majukumu ya Timu ya Taifa ya Ubelgiji baada ya timu hiyo kufungashiwa virago kwenye Kombe la Dunia hatua ya makundi huko Qatar,2022.  Nahodha huyo wa timu ya taifa amefunga jumla ya mabao 33 kwenye mechi 126 ambazo amecheza na timu hiyo tangu akiwa na…

Read More