
USAJILI WA MTIBWA SUGAR UPO HIVI
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kwa sasa unasubiri ripoti ya benchi la ufundi ili kufanikisha mpango wa kusajili wachezaji wapya. Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa wiki ijayo ambapo timu hupewa muda wa kuboresha nafasi ambazo wataona zinahitaji kuongezewa nguvu. Miongoni mwa wanaosakwa ndani ya Mtibwa Sugar ni kwenye eneo la ushambuliaji pamoja na…