
MZUNGUKO WA KWANZA SOMO KWA WALIOKOSA NAFASI
HAKUNA ambaye anapenda kukaa benchi kwenye mechi ambazo zinaendelea kwa kuwa mchezaji kazi yake kubwa ni kutumia dakika 90 uwanjani. Imekuwa hivyo kwenye mzunguko wa kwanza ambapo wapo wachezaji waliokwama kuwa kwenye chaguo la kwanza la kocha. Benchi la ufundi linahitaji wachezaji ambao wanajitoa muda wote kutafuta ushindi na haya yote yanayotokea kwenye mechi lazima…