
SIMBA YAWATULIZA COASTAL UNION MKWAKWANI
MCHEZO wa pili mfululizo kikosi cha Simba kinafanikiwa kushinda kwenye mechi za ligi baada ya leo Desemba 3,2022 kushinda mbele ya Coastal Union. Ubao wa Uwanja wa Mkwakwani, umesoma Coastal Union 0-3 Simba na wakasepa na pointi tatu mazima. Mabao ya Moses Phiri dakika ya 53 na dakika ya 60 kwa mkwaju wa penalti yalifungwa…