
UFARANSA HAO KOMBE LA DUNIA HATUA YA ROBO FAINALI
MSHAMBULIAJI wa Timu ya Taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe anakuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya Kome la Dunia kufunga jumla ya mabao 8 kabla ya kugota kwenye miaka 24. Mbele ya mashabiki 40,989 nyota huyo leo ametupia mabao mawili wakati ubao ukisoma Ufaransa 3-1 Poland, Uwanja wa Al Thumama. Mbappe katupia mabao mawili dakika…