
MAJOGORO AFUNGUKIA KICHAPO YANGA
BARAKA Majogoro kiungo wa KMC amesema kuwa sababu ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Yanga ni kushindwa utumia nafasi ambazo walizipata pamoja na wapinzani wao kutumia zile ambazo walipata. Februari 22 KMC ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Mwamba huyo mwenye rasta kichwani alianza kikosi…