
GEITA GOLD, SINGIDA BIG STARS ZAPETA
MAPEMA leo kwenye mechi za hatua ya 16 bora Kombe la Azam Sports Federation Geita Gold walikata tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali. Ni ushindi wa mabao 3-1 wameupata dhidi ya Green Warriors kwenye mchezo huo. Geita Gold imeweka wazi kuwa hesabu zake ni kutinga hatua ya fainali ya kombe hilo ambalo bingwa mtetezi…