
HIVI NDIVYO NGOMA ILIVYOPIGWA MPAKA ROBO FAINALI
NGOMA ilipigwa na mwisho wa siku timu nane zimetinga hatua ya robo fainali Kombe la Azam Sports Federation. Hapa tunakuletea namna kazi ilivyokuwa kwa wapambanaji hao kusaka ushindi namna hii:- Simba 4-0 African Sports, Uwanja wa Uhuru Ilikuwa Machi 2,2023 ambapo mabao ya Simba yalifungwa na Jean Baleke dakika ya 36,Kennedy Juma dakika ya 47,…