
WIKI YATIMIA KWA MANCHESTER UNITED
LIVERPOOL hawakuwa na huruma kwenye mchezo wa Ligi Kuu England baada ya kushinda jumla ya mabao 7 huku wakisepa na pointi tatu mazima. Ni Cody Gakpo alitupia kambani mabao mawili dakika ya 43 na 50, Darwin Nunez pia alitupia kambani mbili dakika ya 47 na 75. Mohamed Salah alitupia mawili dakika ya 66 na 83…