
CITY YAPIGA MTU KIFURUSHI CHA WIKI
MANCHESTER City kwenye mchezo wa UEFA Champions League wamemchapa RP Leipzig mabao 7-0. Uwanja wa Etihad ulisoma hivyo na kuwapa nafasi ya kusonga mbele kwa jumla ya mabao 8-0. Ni Erling Haaland alitupia kambani dakika ya 22 kwa mkwaju wa penalti, 24,45,53 na 57 mwamba aliwapa tabu Sana. Ilkay Gubdogan alitupia dakika ya 49 na…