
YANGA YAANZA NYODO CAF
BAADA ya kufanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shiriko Afrika, uongozi wa Yanga umeibuka na kutamka kuwa levo ambazo wanazo, wao sio wa kuihofia timu yoyote. Kauli hiyo imekuja mara baada ya Yanga kuwafunga mabao 2-0 US Monastir ya Tunisia katika mchezo wa tano wa Kundi D kunako Kombe la Shirikisho Afrika…