
KIKOSI CHA STARS AFCON HIKI HAPA,MBWANA, FEI NDANI
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Adel Amrouche ametangaza kikosi kitakachocheza michezo miwili ya kufuzu Afcon dhidi ya Uganda mechi mbili namna hii:- Aishi Manula, (Simba) Beno Kakolanya, (Simba) Metacha Mnata, (Yanga) Kibwana Shomari, (Yanga) Datius Peter, (Kagera Sugar) Yahya Mbegu, (Ihefu) David Luhende, (Kagera Sugar) Dickson Job, (Yanga) Bakari Mwamnyeto,…